Christina Shusho – Hararat

Mwanadada Christina Shusho ambaye ni mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania ambaye ameimba nyimbo nyiingi ukiwako wimbo wa Thamani ya wokovu wangu, Teta nao, shusha nyavu, ushirika nawe, mwanangu, hesabu, Ning’are na nyingine nyiiingi. basi leo ameonesha katika ukurasa wake wa facebook na istagram mwonekano wa albam yake mpya ambayo inakwenda kwa jina la “Hararat”. Shusho anakuja na “Hararat” which is a strong and uplifting song that urges listeners to pursue God fervently and with all of their hearts. It’s no surprise that the song has grown so popular among gospel music enthusiasts in Tanzania and beyond given its potent lyrics and soul-stirring voices. Christina Shusho, a gospel performer, composer, and entrepreneur of Tanzanian heritage is currently signed to the Dreamers Center.

Share: